in

Nandy – Unanimaliza LYRICS Ft. Lody Music

Nandy - Maturity EP Lyrics

Nandy – Unanimaliza Lyrics

Read ‘Unanimaliza Lyrics,’ by Nandy and Lody Music below;

Intro

Kim mamba on the beat

Nandy’s Verse

Hili hubaaa
Limenisafirisha maziama
KwDunia yangu me na wew
Tuwe wote me naww Halitofubaa mbali c tutafka lazma nakwenye moyowangu uko ww
Tuwe wote me naww.
yan kchwan nakuwaza ww naona najiingiza mazma nn umenipa ww ona midad inaniita Nina iman nikiwa naww napona hata bila kupma nn umenipa ww ona midad inaniita..
nanilivo didimia una chuchumia penz lako nipewe vile unang’ang’ania me napenda pia unafanya nilewee

Chorus

unanimalizia
unanimalizia
unanimalizia
unanimalizia

Lody Music’s Verse

aahaaa
Lody music on this one
Napumlia mipira nitapo kukosa nitashndwa hata kufkiri nakuwaza we unaniweza me Penzi linapata mavuno
unavonipenda mpk Raha ninatoaPosa cwez kufanya Siri Nataka kuwa nawe unataka kua na me wanga wanawashwa mikuno Yan mpk Raha
Napendwa, Nalishwa, Naogeshwa na vshwa Nguo Yan mpk nampenda
na nnavyo aminishwa kabsa kwamba chaguo lake kbsa kanipenda
na nnavyo aminishwa kabsa kwamba chaguo lake kbsa kanipenda

Chorus

UNANIMALIZA
UNANIMALIZA
UNANIMALIZA
UNANIMALIZA

The END

Leave a Feedback

Nandy - Maturity EP Lyrics

Nandy – Ebelebe Ft. C Natty

Nandy - Maturity EP Lyrics

Nandy – Ebelebe LYRICS Ft. C Natty